Ramani hizi zitabadilisha namna unavyoitazama dunia, na Alastair Bonnett anajua hilo: yeye mwenyewe aliguswa na kupata "mshtuko" siku aliyogundua hayo. Hisia hii ilikuwa ilifuatia uteuzi wake kusoma ...
Afrika ndio bara la pili kwa ukubwa duniani likiwa na ukubwa kilomita za mraba millioni 30.37 baada ya bara Asia. Hata hivyo, kwenye ramani ya Mercator, Afrika huonekana kana kwamba ina ukubwa ...
Katika miaka ya hivi karibuni, sauti za mashirika ya kiraia kote ulimwenguni zimejitokeza kuilaani, kwani Afrika inawakilishwa kwa uwiano mdogo mara kumi kuliko ukubwa wake halisi. Na hivyo ndivyo ...
Lengo la Togo: makadirio ya Mercator. Makadirio haya yanatumika katika ramani nyingi za dunia lakini yanapotosha nchi nyingi, yakipendelea zile za kaskazini kwa kuzifanya zionekane kubwa kuliko ...